Kibubusa Cha Kanjo sehemu ya nne. Tweet This

Katika sehemu ya nne na ya mwisho, mwanahabari mpenzi Mohammed Ali annangazia benki za siri zinazotumiwa na baadhi ya maafisa wafisadi wa Baraza la Jiji la nairobi kuficha pesa za hongo wanazozipat kutoka kwa wachuuzi. Miongoni mwa maafisa hao rekodi ya mpesa imeonyesha kuwa WasiWasi alikuwa amepokea shilingi milioni kumi na nane.

Let the world know:

Instafootage