Are there any measures in place to ensure that illegal arms acquisitions from the police officers to criminals is curbed? Tweet This

Ushahidi kuhusu mauaji ya kiholela na kupotea kwa watu nchini Kenya unaashiria matukio haya yanatekelezwa na vyombo vya usalama. Idara ya usalama  ingali inashikilia kuwa haihusiki kwa vyovyote vile. Ikiwa maafisa wa usalama hawahusiki, kwa nini hawafanyi uchunguzi ilhali imo ndani ya uwezo wao kufanya hivyo? Sehemu ya Pili ya Kifo cha Mende inaangazia matukio zaidi ya mauaji na kilio cha haki cha familia za wahasiriwa.

Let the world know:

Instafootage