Kiongozi nitakaye mchagua nataka ahakikishe kwamba matakwa ya wananchi yamewasilishwa mwanzo kabla ya mahitaji yake. Tweet This
Katika historia ya Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, idadi kubwa ya wapiga kura imekuwa ikizingatia vyama au mirengo ya kisiasa kuliko sifa za watafutao uongozi.
Hii leo kwenye makala ya #UpigajiKuraWangu, Godfrey Ouma anaeleza kwa nini hataegemea vyama vya siasa atakapokuwa akichagua viongozi tarehe 8 Agosti 2017.
#MyVoterStory #Elections2017KE
Let the world know:

Instafootage