0

Godfrey Ouma: Sitachagua Vyama Bali Viongozi Waadilifu

Katika historia ya Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, idadi kubwa ya wapiga kura imekuwa ikizingatia vyama au mirengo ya kisiasa kuliko sifa za watafutao uongozi.   Hii leo kwenye makala ya #UpigajiKuraWangu, Godfrey Ouma anaeleza kwa nini hataegemea vyama vya siasa atakapokuwa akichagua viongozi tarehe 8 Agosti 2017.

Let the world know:
Scroll to top