Kibubusa cha Kanjo

Kibubusa cha Kanjo – Sehemu ya Nne

Katika sehemu ya nne na ya mwisho ya ‘Kibubusa Cha Kanjo’, mwanahabari mpekuzi Mohammed Ali anafichua akaunti za siri ambako maafisa fisadi wa Baraza la Jiji la Nairobi huweka hongo wanazokusanya kutoka kwa wachuuzi. Rekodi za M-Pesa tulizonazo zaonyesha kiongozi wa maafisa hawa kwa jina Benson Akasi Ambani (Wasiwasi), amepokea shilingi milioni 18 kati ya mwaka 2013 na 2016.

Read More

Kibubusa cha Kanjo – Sehemu ya Tatu

Hii ni sehemu ya tatu ya makala ‘Kibubusa Cha Kanjo’ yanayoangazia dhuluma na ukatili ambao maafisa wa baraza la jiji la Nairobi huwatendea wachuuzi. Kando na kuwapiga kitutu wachuuzi, maafisa hawa huwadunga kwa visu kiholela. Wachuuzi wengi wameuawa kufikia sasa. Walioponea wangali wakiuguza majeraha mabaya ya kupigwa au kudungwa visu. Haya yote hayangefanyika ikiwa wachuuzi hawa walikubali kutoa hongo.

Read More

Kibubusa cha Kanjo – Sehemu ya Pili

Katika sehemu ya pili ya makala ya ‘Kibubusa Cha Kanjo’ tunaangazia ufisadi wa hali ya juu kando na kufichua sura na majina ya maafisa husikawa baraza la jijila Nairobi walionaswa na kamera zetu wakipokea hongo.

Read More

Kibubusa cha Kanjo – Sehemu ya Kwanza

Kibubusa Cha Kanjo ni kisa cha maskani ya wanabiashara wa Nairobi. Tazama:

Read More

Scroll to top